MWANAMKE AUAWA KWA KUKATWA SHINGO SHINYANGA

MWANAMKE AUAWA KWA KUKATWA SHINGO SHINYANGA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi akizungumza na vyombo vya habari mjini Shinyanga Jumamosi Aprili 4, 2026. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi akizungumza na vyombo vya habari mjini Shinyanga Jumamosi Aprili 4, 2026. Na mwandishi wetu - Malunde 1 blog Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mwanamke Hollo Ruchanganya (60), mkazi wa kijiji cha Bunambiyu wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, huku uchunguzi wa awali ukihusisha imani za kishirikina. Akizungumza na vyombo vya habari mjini Shinyanga leo Jumamosi Aprili 4, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa watuhumiwa hao wanahojiwa ili kubaini ukweli wa tukio hilo. Katika tukio hilo, marehemu Hollo Ruchanganya aliuawa kikatili kwa kukatwa shingoni na mtu asiyejulikana, kabla ya mwili wake kutupwa katika shamba la mahindi jirani na makazi yake. Kwa mujibu wa taarifa za awali, mtuhumiwa wa…