THPS YAKABIDHI KLINIKI YA MAT SHINYANGA KUIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

THPS YAKABIDHI KLINIKI YA MAT SHINYANGA KUIMARISHA MAPAMBANO DHIDI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA
Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo (wa pili kushoto), akizindua Jengo la Kliniki ya Huduma za Tiba kwa Waraibu wa Dawa za Kulevya (MAT) lililojengwa na THPS kwa ufadhili wa Benki ya CRDB, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Machi 22, 2026. Wa kwanza kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Yudas Ndungile, wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana akifuatiwa na Mkurugenzi wa THPS, Dkt. Redempta Mbatia.  Picha na Kadama Malunde  Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo (katikati), akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Jengo la Kliniki ya Huduma za Tiba kwa Waraibu wa Dawa za Kulevya (Medication-Assisted Treatment - MAT) lililojengwa na Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kwa ufadhili wa Benki ya CRDB, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Machi 22, 2026. Muonekano wa Jengo la Kliniki ya MAT lililojengwa na Tanzania Health Promotion Support (THPS) kwa ufadhi…