WAZIRI MAVUNDE AZINDUA HELIKOPTA YA BARRICK KWA UTAFITI WA KISASA WA KIJIOLOJIA
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA HELIKOPTA YA BARRICK KWA UTAFITI WA KISASA WA KIJIOLOJIA
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (katikati) akikata utepe ishara ya ku zindua helikopta ya kisasa ya Kampuni ya Barrick kwa ajili ya kufanya utafiti wa kijiolojia wa anga - Picha na Kadama Malunde Waziri wa Madini, Anthony Mavunde aki pata maelezo wakati akizindua helikopta ya kisasa ya Kampuni ya Barrick kwa ajili ya kufanya utafiti wa kijiolojia wa anga Helikopta ya kisasa ya Kampuni ya Barrick kwa ajili ya kufanya utafiti wa kijiolojia wa anga Waziri wa Madini, Anthony Mavunde na viongozi ,mbalimbali wakishuhudia helikopta ya kisasa ya Kampuni ya Barrick ikiruka angani kwa ajili ya kufanya utafiti wa kijiolojia wa anga Helikopta ya kisasa ya Kampuni ya Barrick ikiwa angani Waziri wa Madini, Anthony Mavunde akizungumza wakati aki zindua helikopta ya kisasa ya Kampuni ya Barrick kwa ajili ya kufanya utafiti wa kijiolojia wa anga Meneja wa Barrick nchini , Dkt. Melkiory Ngido akizungumza wakati wa hafla hiyo Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita akizungumza wakati wa hafla hiyo. ** Ka…