Wakaazi wa Nyumba za Kikwajuni waridhia kupisha ujenzi mpya wa nyumba za kisasa
Wakaazi wa Nyumba za Kikwajuni waridhia kupisha ujenzi mpya wa nyumba za kisasa
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mohd Abdalla Ali akizungumza na Wakaazi wa Kikwajuni katika Mkutano wa kukabidhi Nyumba hizo kwa ajili ya Ujenzi Mpya na kuahidiwa kurudi katika Nyumba zao baada ya kumalizika kwa Ujenzi huo ambao Unatarajiwa kuanza kwa hatua ya Ubomowaji 26/03/2026 Zanzibar. -Baadhi ya Nyumba za Kikwajuni zinazotarajiwa Kuvunjwa na Kujengwa Upya kama zinavyoonekana . Baadhi ya Wakaazi wa Kikwajuni wakiwa katika Mkutano na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mohd Abdalla Ali pamoja na Shirika la Nyumba ili kukabidhi Nyumba hizo kwa ajili ya Ujenzi Mpya na kuahidiwa kurudi katika Nyumba zao baada ya kumalizika kwa Ujenzi huo ambao Unatarajiwa kuanza kwa hatua ya Ubomowaji 26/03/2026 Zanzibar Mkaazi wa Nyumba za Kikwajuni Omar Nassor akitoashukurani kwa Serikali kwa niaba ya Wenziwe katika Mkutano wa kukabidhi Nyumba hizo kwa ajili ya Ujenzi Mpya na kuahidiwa kurudi katika Nyumba zao baada ya kumalizika kwa Ujenzi huo ambao Unatarajiwa kuanza kwa hatua ya Ubomowaji 26/03/2026…