STANDARD CHARTERED YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUTHIBITISHWA NA MOODY’S DARAJA B1
STANDARD CHARTERED YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUTHIBITISHWA NA MOODY’S DARAJA B1 Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kulia), akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Herman Kasekende aliyeambatana na ujumbe kutoka benki hiyo, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza jambo wakati wa kikao chake na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Herman Kasekende (hayupo pichani), walipokutana kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Herman Kasekende, akizungumza jambo wakati wa kikao cha Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo pichani), na Ujumbe wa Benki hiyo, walipokutana kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali …