Mhe Hemed mgeni rasmi wiki ya Sheria Chakechake Pemba
Mhe Hemed mgeni rasmi wiki ya Sheria Chakechake Pemba
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza katika matembezi ya Wiki ya Sheria yaliyoanzia Benki ya PBZ Chake Chake na kumalizia katika Uwanja wa Mpira wa Gombani Chake Chake Pemba. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiongoza mazoezi ya viungo ya Wiki ya Sheria katika Uwanja wa Mpira wa Gombani Chake Chake Pemba. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiongoza matembezi ya Wiki ya Sheria yaliyoanzia Benki ya PBZ Chake Chake na kumalizia katika Uwanja wa Mpira wa Gombani Chake Chake Pemba. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewataka wananchi kuendelea kuwa karibu na Mahkama katika kupata haki zao na ellimu ya sheria jambo ambalo litawasaidia kuondokana na changamoto na vikwazo mbalimbali vinavyotokea kwa kutokujua sheria. Ameyasema hayo katika matembezi ya wiki ya sheria yaliyoanzia Bank ya PBZ Chake Chake na kumalizia katika Uwanja wa Mpira Gombani Kisiwani Pemba. Amesema k…