MAKAMU WA RAIS AWASILI SONGEA – KUWA MGENI RASMI KILELE CHA TAMASHA LA KUMBUKIZI YA MIAKA 120 YA MASHUJAA WA VITA YA MAJIMAJI

MAKAMU WA RAIS AWASILI SONGEA – KUWA MGENI RASMI KILELE CHA TAMASHA LA KUMBUKIZI YA MIAKA 120 YA MASHUJAA WA VITA YA MAJIMAJI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma, leo tarehe 26 Februari 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Tamasha la kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji litakalofanyika tarehe 27 Februari 2026, Viwanja vya Makumbusho ya Majimaji, Songea. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa ameshika Ngao na Mkuki wakati akicheza ngoma ya na machifu mbalimbali wa kabila la wangoni, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma, leo tarehe 26 Februari 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Tamasha la kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji litakalofanyika tarehe 27 Februari 2026, Viwanja vya Makumbusho ya Majimaji, Songea. …… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili…