CEOrt, TWCC kushirikiana ushiriki wa wanawake katika kukuza uchumi wa biashara
CEOrt, TWCC kushirikiana ushiriki wa wanawake katika kukuza uchumi wa biashara
Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Watendaji Wakuu nchini (CEO Roundtable of Tanzania-CEOrt) B. Santina Benson (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) Dkt. Mwajuma Hamza wasaini Hati ya Makubaliano (MoU) kwa ajili ya kushirikiana katika kuwawezesha wafanyabishara wanawake kukua kiuchumi kupitia mpango wa CEOrt unaojulikana kama ‘Think Equal, Lead Smart (TELS), ulioanzishwa mwaka 2024 kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania Foundation.Hafla hiyo imefanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Ijumaa Februari 6, 2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Watendaji Wakuu nchini (CEO Roundtable of Tanzania-CEOrt) B. Santina Benson (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) Dkt. Mwajuma Hamza, mara baada ya kusaini Hati za Makubaliano (MoU) kwa ajili ya kushirikiana katika kuwawezesha wafanyabishara wanawake kukua kiuchumi kupitia mpango wa CEOrt un…