Rais Dkt. Samia azindua Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili

Rais Dkt. Samia azindua Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akionesha Kitabu cha Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili mara baada ya uzinduzi katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026. Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili. Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026. Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa Elimu ya Awali na Wanafunzi wa Darasa la Kwanza na la Pili. Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026. 09:Rais wa Jamhuri ya…