Breaking : MCHUNGAJI MSIGWA AJIONDOA CCM, ARUDI CHADEMA

Breaking : MCHUNGAJI MSIGWA AJIONDOA CCM, ARUDI CHADEMA
Mchungaji Peter Msigwa ametangaza kujiondoa rasmi CCM na kurejea CHADEMA baada ya kufuata taratibu zote za chama hicho.  Pia ameomba radhi kwa wanachama wa CHADEMA walioumizwa na msimamo wake wa awali.